Mahafali ya 24 ya kidato cha nne shule ya sekondari Bunda tarehe 20/10/2017,sherehe hii ilifanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Bunda Mgeni rasmi akiwa ni MH.DIWANI Pastory Ncheye.
Jumla ya wahitimu walikua ni 144.Chini ni baadhi ya matukio katika picha.
24th form four graduation ceremony held on 20/10/2017 at Bunda secondary school. The guest of honour was the chancellor of Kabarimu ward hon. Pastory Ncheye.
144 students were graduating. Below are pictures show some important events.