HABARI...Uongozi wa Bunda sekondari unapenda kuwashukuru nyote mlioshiriki nasi Katika siku muhimu ya jana ππ (Mahafali ya Nne kidato cha sita 2019).Mlioshiriki kwa kututazama na ku comment on Facebook,pia waliokuwepo eneo la tukio mbarikiwe sana.
Picha za matukio zaidi zitafuata katika kurasa zetu za facebook pia katika www.bundahighschool.blogspot.com
ππππππππππππππππππππππππ