Saturday, June 5, 2021

FORM FIVE JOINING INSTRUCTION BUNDA SECONDARY SCHOOL 2O21

 BUNDA SECONDARY SCHOOL FORM FIVE JOINING INSTRUCTION  2021/2022


Pongezi  kubwa ziwaendee Wanafunzi toka kote TANZANIA nzima kwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo unaoanza Julai hii 2021.

Uongozi wa shule unapenda kuwakaribisha Sana Bunda secondary kwa maana ni kisima cha Maarifa na Mwangaza wa maisha.Kwetu shule si Elimu tu bali pia ni taasisi inayokuandaa vyema kukabiliana na kila changamoto ya kimaisha kabla na hata baada ya Shule.

HGL,HGK,HGE NA EGM KARIBUNI SANA.

#Nidhamu_ni_ushindi.

PAKUA JOINING INSTRUCTION HAPA

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇