BLOGU HII NI MAALUM KWA MASUALA YA TAALUMA YAHUSUYO BUNDA SEKONDARI.MAONI YENYE LUGHA ZISIZO NZURI YATAONDOLEWA.KARIBUNI KWA MAONI NA USHAURI.
"NIDHAMU NI USHINDI"
Wednesday, June 14, 2017
WAHITIMU KIDATO CHA SITA.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita Bunda sekondari Mwaka 2017 katika picha ya pamoja,nje ya jengo la utawala,hapa walikuwepo HGL,HGK na EGM.waliripoti shuleni hapa mwezi Julai 2015 kama kidato cha tano.Mungu awabariki sana popote walipo.
No comments:
Post a Comment