Thursday, August 23, 2018

TANZIA!!



Jumuiya ya Bunda sekondari, inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wake wa kike kidato cha tano EGM  2018/2019 JANE WILBARD MINDE. kilichotokea asubuhi ya tarehe 23/08/2018 akiwa njiani kupelekwa hospitali ya BDDH Mjini Bunda. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

1 comment: