Sunday, May 5, 2019

BEST WISHES

🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓


Kila lenye mwanzo halikosi Mwisho...na hakuna marefu yasokua na ncha,ilikua miaka ikawa mwaka hatimae miezi wiki vyote vimekatika,na leo hii mnahesabu masaa,hakika Mungu ni mwema.

✏📝📐📏🖊🖇📚📚📘📙📗📕📒📔📓✏📝🖌🖍
Kesho ni siku mnayoanza mitihani vijana wetu tunaungana na wazazi wenu,walezi,ndugu jamaa na marafiki katika kuwatakia kila lakheri katika mitihani yenu mnayoanza  kesho 06/05/2019.Bila shaka yote mliyoyapata kwa muda wote mliokuwepo shuleni tunaaminia yatawapa matokeo yaliyo bora zaidi.Na yatakua ni daraja tosha la kuwavusha toka mlipo mpaka pale mnapopahitaji na kila mmoja atatimiza ndoto yake kadri Mungu atakavyomjaalia.

🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓
Kila lakheri vijana wetu Na mungu awabariki sana.

🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓


Thursday, May 2, 2019

MAHAFALI KIDATO CHA SITA 2019



Baadhi ya Matukio katika picha ya mahafali ya kidato cha sita Bunda  Sekondari,iliyofanyika Tarehe 25 April 2019.
Mgeni rasmi Mh.Lydia Bupilipili Mkuu wa wilaya Bunda.