🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓
✏📝📐📏🖊🖇📚📚📘📙📗📕📒📔📓✏📝🖌🖍
Kesho ni siku mnayoanza mitihani vijana wetu tunaungana na wazazi wenu,walezi,ndugu jamaa na marafiki katika kuwatakia kila lakheri katika mitihani yenu mnayoanza kesho 06/05/2019.Bila shaka yote mliyoyapata kwa muda wote mliokuwepo shuleni tunaaminia yatawapa matokeo yaliyo bora zaidi.Na yatakua ni daraja tosha la kuwavusha toka mlipo mpaka pale mnapopahitaji na kila mmoja atatimiza ndoto yake kadri Mungu atakavyomjaalia.
🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓
Kila lakheri vijana wetu Na mungu awabariki sana.
🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓🎓
No comments:
Post a Comment