Ikiwa leo tarehe 8/7/2019 shule zinafunguliwa,tunapenda kuwakaribisha sana wanafunzi wanaoanza Muhula wa Pili kwa wale wa kidato cha Kwanza hadi cha Nne Na kwa wale mnaoanza kidato cha sita karibu sana Mungu awabariki sana Katika safari yenu ya taaluma.
Pia tuwakaribishe sana kidato cha Tano.
Mbali na yote tujikumbushe kwa wale mliopita Bunda Secondary,Wewe ni wa utawala wa mkuu gani kati ya hawa pichani?
Hongereni Bunda SS kwa kuanzisha blog. Wazo zuri sana!
ReplyDeleteAsante sana.
ReplyDeleteNafuatilia kwa ukaribu sana maendeleo ya shule inayobeba taswira nzima ya wilaya Ya Bunda mkoa wa Mara..... Hongera kwa matokea Mazuri chini ya Mkuu Machota Kora
ReplyDelete