KARIBU!!!! Hii ni blog maalum kwa ajili ya BUNDA HIGH SCHOOL,Shule hii inapatikana Halmashauri ya mji ya Bunda mjini,ni shule ya mchanganyiko wasichana na wavulana.
Shule hii ina kidato cha kwanza hadi cha sita kwa tahasusi tatu HGK,HGK NA EGM,pia hapa utapata matukio mbalimbali yahusuyo Shule yetu ya sekondari Bunda,elimu na mambo ya taaluma pia picha za matukio nayo.
Please may I know link of getting form five joining instruction for the year 2020/2021
ReplyDeleteHow to get your joining instructions for 2020/21
ReplyDeleteNaomba number ya mkuu wa shule
ReplyDeleteNaomba number ya mkuu wa shule
ReplyDeleteNapenda kuchukua nafasi hii kushukuru uongozi wa shule ya sekondari Bunda kwa kukuza taaluma. Aidha nipende kuwapongeza wanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2021 kwa ufaulu mzuri big up sana.
ReplyDeleteHakika nifahari sana kwa hayo matokeo mazuri yenye kutia moyo kwa wanabunda kama sisi ambao tumepita kitaaluma hapo tunajivunia kuwa wanafunzi wa Binda.
Hakika kwa takwimu kama hizi:-
Dv one:73
Dv two:15
Dv three:0
Dv four:0
Dv zero:0
Region rank 2/20
Nation rank 21/610
This is amazing
Big result now
Congratulation Bunda High schoolππππ
Motto:Displine is Victory