Wednesday, June 24, 2020

PONGEZI

Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wetu wote kidato cha nne (2019) mliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha Tano kwa Tahasusi mbali mbali,pia wale wote mliochaguliwa kujiunga na Vyuo mbali mbali hapa nchini.
Tunaamini mtafanya vizuti katika ngazi hiyo ya Elimu.Bila kuwasahau wale wote mliokosa nafasi ya kuendelea na elimu tunaamini Nanyi pia hamtakata tamaa katika Kuitafuta elimu kwa namna moja ama nyingine.
Siku zote kaeni mkiamini NIDHAMU NI USHINDI.
Kila lakheri kwenu Nyote na Mungu awabariki sana.

No comments:

Post a Comment