BLOGU HII NI MAALUM KWA MASUALA YA TAALUMA YAHUSUYO BUNDA SEKONDARI.MAONI YENYE LUGHA ZISIZO NZURI YATAONDOLEWA.KARIBUNI KWA MAONI NA USHAURI.
"NIDHAMU NI USHINDI"
Friday, April 20, 2018
MAHAFALI YA TATU KIDATO CHA SITA 2018
Baadhi ya wahitimu wakiwa katika Maandamano kuelekea Shuleni siku ya mahafari.
Mahafali hayo ya Tatu ya kidato cha sita yalifanyika tarehe 20/04/2018 katika ukumbi wa Shule ya sekondari Bunda ikihudhuriwa na wageni mbali mbali
No comments:
Post a Comment