BLOGU HII NI MAALUM KWA MASUALA YA TAALUMA YAHUSUYO BUNDA SEKONDARI.MAONI YENYE LUGHA ZISIZO NZURI YATAONDOLEWA.KARIBUNI KWA MAONI NA USHAURI.
"NIDHAMU NI USHINDI"
Thursday, May 2, 2019
MAHAFALI KIDATO CHA SITA 2019
Baadhi ya Matukio katika picha ya mahafali ya kidato cha sita Bunda Sekondari,iliyofanyika Tarehe 25 April 2019.
Mgeni rasmi Mh.Lydia Bupilipili Mkuu wa wilaya Bunda.
Ni blog nzuri inatuhabarisha, ila mjaribu kuboresha template colour kwenye baadhi ya headings zinakua hazionekani vizuri.
ReplyDeletePia kama mna account YouTube mnipe link niwe naangalia videos za mahafali.
AHSANTE
ziko vizuri nawakumbuka sana clasmate wangu
ReplyDelete