Kwa wale mliochaguliwa kujiunga na Bunda secondary kwa tahasusi zetu za HGK,HGK na EGM karibuni sana,Bunda secondary ni kisima cha maarifa hakika hamtatoka kama mlivyokuja tunawakaribisha sana.Kwa taarifa zaidi wasiliana na uongozi wa shule ama kwa Barua pepe bundahighschool@gmail.com
Mzazi mlezi mlete mwanao aliyechaguliwa Bunda secondary maana kwetu " NIDHAMU NI USHINDI"
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA BUNDA SECONDARY KIDATO CHA TANO 2019/2020
Nanyi mliopita Bunda secondary tunaamini huko mliko mnaendelea kua mabalozi wazuri wa shule yetu pendwa kwa kuitangaza kwa mazuri yote.
Napenda kuwapa hongera wadogo zangu kwa juhudi zao walizozionyesha sasa Mungu awatangulie huko muendako mkawe vichwa kama jinsi Mungu alivyotuagiza,,
ReplyDeleteKwa wapendwa waliochaguliwa Bunda High School karibuni sana kwani hata sisi tumetoka hapo na sasa tuko vyuo tofautitofauti hapa Tanzania na wengine nje ya Tanzania.
Baba wa mbinguni na atuangazie nuru
Our motto: discipline is our victory.
Hongereni sana wadogo zangu waliochaguliwa kuendelea na masomo ya advance MUNGU awatangulie Sana lakini pia nipende kuwapa pongezi kwa wale wote waliobahatika kupata nafasi ya kujiunga na shule yetu hakika mmepata kituo sahihi chenye maarifa kwa ajili ya wanafunzi pia MUNGU awatangulie katika masomo yenu
ReplyDeleteMmi sharifu maarifa nimefurah kuja bunda
ReplyDelete