Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wetu wote kidato cha nne (2019) mliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha Tano kwa Tahasusi mbali mbali,pia wale wote mliochaguliwa kujiunga na Vyuo mbali mbali hapa nchini.
Tunaamini mtafanya vizuti katika ngazi hiyo ya Elimu.Bila kuwasahau wale wote mliokosa nafasi ya kuendelea na elimu tunaamini Nanyi pia hamtakata tamaa katika Kuitafuta elimu kwa namna moja ama nyingine.
Siku zote kaeni mkiamini NIDHAMU NI USHINDI.
Kila lakheri kwenu Nyote na Mungu awabariki sana.
BLOGU HII NI MAALUM KWA MASUALA YA TAALUMA YAHUSUYO BUNDA SEKONDARI.MAONI YENYE LUGHA ZISIZO NZURI YATAONDOLEWA.KARIBUNI KWA MAONI NA USHAURI. "NIDHAMU NI USHINDI"
Wednesday, June 24, 2020
Saturday, June 13, 2020
WELCOME/KARIBU
KARIBU!!!! Hii ni blog maalum kwa ajili ya BUNDA HIGH SCHOOL,Shule hii inapatikana Halmashauri ya mji ya Bunda mjini,ni shule ya mchanganyiko wasichana na wavulana.
Shule hii ina kidato cha kwanza hadi cha sita kwa tahasusi tatu HGK,HGK NA EGM,pia hapa utapata matukio mbalimbali yahusuyo Shule yetu ya sekondari Bunda,elimu na mambo ya taaluma pia picha za matukio nayo.

Subscribe to:
Posts (Atom)